Jeremiah 18:23


23 aLakini unajua, Ee Bwana,
hila zao zote za kuniua.
Usiyasamehe makosa yao
wala usifute dhambi zao
mbele za macho yako.
Wao na waangamizwe mbele zako;
uwashughulikie wakati wa hasira yako.
Copyright information for SwhKC